Pichani muatirika wa kimeta kilichoikumba wilaya ya Hai na kupelekea Mabucha kufungwa mwishoni mwa mwezi jana...Hali kidogo imetengemaa na baadhi ya mabucha yaliyokidhi viwango yamefunguliwa



Mzee huyu aliambukizwa kimeta baada ya kumhudumia ng'ombe wake aliyekuwa anaumwa gonjwa hilo kijijini Narumu wilayani Hai...
1 comment:
Dah! Ugonjwa hatari sana huo.
Post a Comment