

Mzinga huu umetokea karibu na njia panda ya cocacola mara baada ya Escudo moja kuamua kupiga u-Turn ghafla bila kuangalia upande wa pili ilipokuwepo Rav 4 hii...yaliyofuata ni majeraha kama wanvyoonekana watu picha ya juu ambapo mmoja wa Abiria alokuwa katika Escudo alikuwa akipepewa...
No comments:
Post a Comment