KONGAMANO LA UTATUZI WA KERO YA MAJI UBUNGO



31/01/2010 CHUO CHA MAJI, UBUNGO


Ndugu Mwananchi,

Napenda kukukaribisha katika kongamano la kujadili utatuzi wa kero ya maji katika jimbo la Ubungo siku ya 31/01/2011 katika Ukumbi wa Chuo cha Maji kuanzia saa tatu asu hadi saa saba mchana.Kwa juhudi za Mbunge, kukutanisha wananchi, wizara husika, halmashauri, asasi za kiraia, Dawasco, Sekta Binafsi na wadau wengine wowote wa maji kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa kero ya maji katika jimbo la Ubungo.Tafadhali fika bila kukosa.

Pata barua ya mwaliko ama taarifa za ziada kupitia Jonathan (0873-552010).

Karibuni nyote!

Maslahi ya Umma Kwanza.

John Mnyika

No comments: