CHEZA MBALI NA KASHESHE

Hapo kwa wale wezi wa waume za watu kuwaita mabuzi imekula kwao

MKEREKETWA



Tungefikia level hizi katika klabu zetu inji hii ingekuwa mbali saa hizi

HEBU NISOMEE NAMBA ZA HII DALADALA!!




Kweli tunaenda kwa kudra za mungu tu...nchi haina ulinzi wala usalama hii


World's AIDS Day 1st Dec 2011

Greetings,

As we commemorate World’s AIDS day today please remember this is the only time where getting a ZERO matters. As the theme for this year states “Getting to zero” meaning Zero new infections, Zero discrimination and Zero HIV/AIDS related Deaths. Positive or Negative??It doesn’t matter what matters is how responsible you are in keeping yourself and others around you safe.

Our responsibility(In my opinion):
Zero New infections-Be faithful, Play safe.
Zero Discrimination-Don’t point fingers, Be kind.
Zero HIV/AIDS related deaths-share Care and Treatment(CTC) information with as many people as possible so that they get access to ARVs if infected, Save lives.

Be Bold, Know your status!!

“Getting to Zero” is possible, It begins with YOU.

I submit,

Elly

KUSTAAFU

Ikifikia uko kazini muda mrefu hadi unataka ku-highlight kwenye kompyuta kwa kutumia Highlighter basi ujue ushakuwa chokest...bwaga manyanga,tundika daruga au mwaga unga a.k.a staafu


NDOA ZA KISASA

Miaka ijayo kitu cha ndoa kitakuwa kama inavyoonekana pichani...full kusisitiza ma-fes buku..Usishangae watu kufunga ndoa kwa ku-chat kwenye fes-buku kisha wakakubaliana wote kubadilisha status zao


EPIQ NATION NDANI YA MBEYA

Mwakilishi Mkazi wa Zantel kanda ya Nyanda za Juu Kusini Braza Killian Nango akikabidhi t-shirt kwa Mwanachuo wakati wa Uzinduzi wa Kampeni Kubwa ya Epiq Nation ndani ya chuo cha Mbeya Insititute of Technology

Epiq Nation ikienda live hewani



LUMBESA...HII SIO GARI NI GUTA




LEO NDO LEO ASEMAE KESHO MUONGO



Hii si ya Kukosa Mtu wangu

HONGERA KAKA HERMAN BEREGE



Ndugu yangu Herman Berege alipo-smoke ze kitchen wikiendi hii....Hongera kiongozi wetu wa zamani wa DUPSA pale Mlimani Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.



KIKAZI ZAIDI

Sasa nipo full Nondoz...kupiga kazi..hivi ni vitendea kazi vipya nimeji-upgrade kidogo...

MICHAEL SATA RAIS MTEULE ZAMBIA

Hatimaye Tume Huru ya Uchaguzi Zambia imemtangaza rasmi Bw.Michael Sata wa Patriotic Front Party(PFP) kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Zambia...Habari zaidi endelea kufuatilia nipenikupe



KAMA DITTO??

Picha hii mimi imenitisha sijui wewe..Hapa ni Igunga,Huyo Pichani ni Mheshmiwa Mbunge wa CCM Rage..na hapo Kibindoni na Pistol ama Bastola wataalam mnaweza kutwambia ni ya aina gani...

Je!anawinda??au ndo anataka kum-Ditto yeyote atakaemletea ishara ya vidole viwili??

KRUZ PARTY

FREE COCKTAIL TO THE FIRST 200 PEOPLE....DON'T THINK OF MISSING THIS...



MOROGORO ROAD KUNA MKONO WA MTU



Barabara yetu hii ya Morogoro kwa kweli inatumaliza..Hapa ni Kibaha kwa Mfipa kitu kimejibu fuso hilo a.k.a John Cena limefanya uharibifu na kumsaidia Israel Roho mbili on ze spot



BREAKING NYUUZ:MOTO SOKO LA MWANJELWA

Live kutoka Mbeya ni kwamba tunavyozungumza saa soko la SIDO Mwanjelwa Mbeya linateketea kwa moto na hakuna juhudi zinazoendelea za kuzima moto huo..