BAJAJ CHALI


Dakika 5 zilizopita tumeshuhudia sakata la aina yake hapa nyuma ya Jengo la Airtel upande wa Dawasco...Bajaj hii imepiduka baada ya kupigwa Push na gari moja aina ya Nissan Cube yenye nembo za manchester United(imesepa sikuipata pichani)....Mwenye shati ya Blue(dereva wa Bajaj) amejeruhiwa kiasi sehemu ya mkono....


No comments: