
Wakiwa hawaamini macho yao Brazil tuliwarudisha kati kuanza dakika ya 86...Staz 1-Brazil 4

Jabir alipotuinua washabiki wa Taifa Starz..wazungu walitushangilia ila sisi wengine wetu walishangilia Brazil.....waBongo bwana..

Screen kubwa la uwanjani likileta kwikwi mara baada ya operator wake kuanza kujifunza computer live

Ma-file meengi...halahala jamaa asijetufungulia mambo ya binafsi walai...Bongo tutakuwa serious lini?Huyu jamaa alianza ku-edit presentation ya Uwanja pale pale kwenye screen wote tukiona...

Foul kuelekea lango la starz...katikati ya dimba
1 comment:
Poleni waTanzania kwa kichapo. Tanzania mpira tunauweza sana
Post a Comment