KITABU CHA UTUMISHI WA SIR GEORGE KAHAMA...


Maelezo ya Picha:
1. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe ulizingushwa kwenye kitabu kinachohusu historia ya maisha ya utumishi serikalini ya Mwanasiasa mkongwe Sir.George Kahama wakati wa hafla ya uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto wanaoshuhudia uzinduzi huo ni Rais Mstaafu awamu ya tatu Benjamin William Mkapa, Mwanasiasa mkongwe Sir.George Kahama(wapili kushoto), Rais Mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi(wanne kushoto) na watano kushoto ni Mwandishi wa kitabu hicho ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Royalty Bwana Joseph kahama.

Kutoka www.mjengwa.blogspot.com picha na Freddy Maro

No comments: