AIRTEL YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma Kwa Wateja Bi.Adriana Lyamba akielezea Umuhimu wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani

Meneja Huduma kwa Wateja akielezea mikakati ya Airtel katika kutoa huduma bora kwa wateja

Meneja wa Huduma kwa Wateja Gabriel Kamukara

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw.Sam Ellangaloor akisisitiza jambo kwenye Uzinduzi wa wiki ya Huduma kwa wateja

Kikosi kazi cha Huduma kwa Wateja katika picha ya pamoja

Viongozi waandamizi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja

Bosi Adriana akiwa na Mameneja wake

No comments: