Pensi kadet mtumba 500/= tu..


Naweza kuvaa mwaka mzima na bado nikaliuza mtumba

1 comment:

Anonymous said...

Hii ikikubana mpatie mwanao, mbambie aitunze aje mpa mwanae ambaye ni mjukuu wako, naye ampe kitukuu.