ZAIN YAMLETA MKALI J-MARTINS

J-MARTINS mwanamuziki nguli kutoka Nigeria atafanya makamuzi kwenye mjengo wa Zain Morocco kesho Tarehe 20/04/2010(Tofauti na inavyosomeka hapo kwenye Tangazo).Mkali huyo mwenye kibao kinachovuma cha Oyoyo atavurumusha mawe mazito akiambatana na King Kong Chid Benz kutoka La Familia Ilala pamoja na Belle9 namba tata inayochipukia katika Bongo Fleva....Tukio hili la kihistoria litaruka Live ya moja kwa moja kwenye ITV na EATV Channel 5 kuanzia saa 3 usiku.....Usikose kutazama LIVE

No comments: