BWAWA LA MAINI LAENDELEA KUKAUKA KAUUUU

Picha za Nipenikupe Maktaba

kama kawaida bwawa la maini limeendeleza libeneke la kudidimia baada ya kuchapwa 2 mtungi na Chelsea..Najua kwa kuwa wamezoea kufungwa watafurahi kutubania kuweka rekodi ya ubingwa mara 4...

No comments: