Msalie mtume..almanusura Times square kinuke

Heka heka za vikosi vya usalama kuzingira eneo lilipopaki Nissan yenye bomu
Mayor Michael Bloomberg akiwatuliza wananchi mchecheto mara baada ya kugundulika kwa Bomu ndani ya gari Times Square,NY.Gari hilo aina ya Nissan Pathfinder lilikuwa limetelekezwa na tayari bomu lilishaanza kufuka moshi...palikuwa hapatoshi

No comments: