VITENGE WAX ANGEL

Ndugu,

Nauza vitenge aina ya "wax angel"kutoka DRC,Nigeria na Burundi kwa shs 40,000/= tu.Wax Angel ndiyo kitenge bora na cha thamani katika bara la Africa,kina pande tatu.Unaweza kushona mtindo unaotaka kwa akina dada ama shati/koti kwa akina baba.Waweza nunua kama zawadi kwa mke,mume,mzazi au mlezi mfano mama zetu kipindi hiki cha kuadhimisha "Mothers day".

Nipigie namba +255787503023 au +255713503023 kwa maelezo zaidi.Na kama upo Dar es Salaam nielekeze nitakuletea hapo ulipo.

Mdau Mrisho.

No comments: