ZAIN YAZAWADIA WAFANYAKAZI 'NYOTA'

Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania,Khaled Muhtad akimkabidhi tuzo ya mfanyakazi bora Noel Mazoya wa kitengo cha Marketing.
Khaled Muhtad akimkabidhi Simon Mlowe kutoka kitengo cha Huduma kwa Wateja zawadi ya mfanyakazi biora wa robo ya kwanza ya mwaka 2010

Michael Chobu wa Finance akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Zain.


Richard Kisse Mpambanaji Mauzo wa Kanda ya Pwani Mtwara na Masasi akiringishia tuzo yake ya mfanyakazi bora wa Quarter ya kwanza ya 2010.



No comments: