
Opa ikipewa lift na Fuso kwa malipo ya laki 6 kuletwa Dar...Dereva wa Opa yupo salama salmin buheri wa Afya

Toyota Opa ikiwa kichwa chini miguu juu...Bahati nzuri hakuna binadamu wala mnyama aliyedhurika katika ajali hiyo

Kweli mwaka wa shida...Ingekuwaje braza Simba angekuja kushuhudia kitoweo live namna hiii....
Mdau,
Gill
No comments:
Post a Comment