HYUNDAI ix35

Mchuma wa Hyundai ukiwa umeegeshwa Mlimani city kuwatoa wabongo mate....Hyundai kweli wameamua....
Kitu mpaka unajiona mwenyewe

Mtoto wa Uswazi hii sijui ntaipaki wapi au niipitishe njia gani


No comments: