TIZI KALI

Najifua kwa ajili ya veteran premier league ambayo nimesikia tetesi kuwa inakuja.Hii ilikuwa siku ya mechi ya timu yetu Chap chap heroes na Zap Warriors zote za Zain katika viwanja vya TTCL...Kufungwa tulifungwa lakini chenga tuliwala.

No comments: