
Nimevutwa na Bango hili mitaa ya mwenge sokoni jijini Dar es Salaam.....nimepiga picha hizi baada ya kuamua kununua kufuatia mvuto wa Tangazo hili,kweli biashara matangazo

Mdau wa matunda na display yake iliyopangwa kimaridadi namna hii....Bigup broda....!
No comments:
Post a Comment