MAJI YA KUTOA GUNDU


Ndani ya Bagamoyo mitaa ya Kaole,.....hiki kisima ni magical spring water ambapo naskia kama una gundu ama mikosi imekuandama ukinawa au kuoga maji yake basi mtu mzima ujianzae kuandaa party ya kuaga umasikini na majanga.....

No comments: