KABURI LA WAPENDANAO

Mdau Manumba akipozi kutoa salute kwa wapendanao waliozikwa pamoja miaka hiyoooo ya hamsini kweusi...Kaole Bagamoyo
Kaole hapo zamani ilijulikana kama Pumbuji na jina hili la sasa lilitokana na wenyeji kushangaa adhana ya kiislam wakawa wanaambiana "tite kalole Pumbuji ivo muarabu atendile" ikiwa na maana twende ukaone Pumbuji hivyo muarabu anavyofanya..

No comments: