NYOMI LA USAJILI WA NAMBA

Foleni ya kusajili namba za simu kwa wateja wa mitandao ya simu za mkononi nchini imepungua kiasi kulinganisha na siku iliyopangwa awali kuwa ya mwisho yaani 30 june 2010

No comments: