CLOUDS MWENDO MDUNDO

Nahamasika sana na historia ya Clouds na makampuni yake....Nikikumbuka toka DIsco Teq baadae studio kisha Redio na hatima ye sasa historia inaendelea kuandikwa kwa ujio wa Clouds TV....Big up brother Jo na Crew nzima ya Clouds Entertainment...

No comments: