
Mdau Solomon ameshusha mzigo wa ukweli wa mabegi ya Laptop yatakayokufanya uonekane mjanja na wa kisasa zaidi.Yapo katika rangi mbalimbali rasmi kwa brand tofauti za Laptop.

Begi hizi zinakupa wepesi wa kubeba kifaa chako cha kazi bila wasiwasi wowote na hali ukibakiza maflexibility yale yale kama hujabeba kitu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na braza Solo mwenyewe kwa namba
0786670863
No comments:
Post a Comment