WEEKENDI NJEMA HIYO

Kama kawaida wadau kitu kimelia mitaa ya Superstar karibu na Mlimani city....Mitsubishi Chariot imepigwa kwa nyuma kisha ikaenda kugonga pickup iliyokuwa imesimama katika mataa...

No comments: