BWAGAMOYO

Nimewasili Bagamoyo jioni hii na kukaribishwa na Bango hili mwanana karibu na Caravan Serai---makumbusho ya soko la watumwa....hebu cheki hii MENU ilivyoandikwa spelingi zake....karibu Bwagamoyo!!


No comments: