MAZITO YA KWA ZITTO KATIKA PICHA

Kijana Bashiri Mdogo wake Zitto akionyesha jeraha alilopata mara baada ya kuruka na kumkinga Zitto asirushiwe risasi na polisi wakati polisi walipovamia Ofisi ya CHADEMA Ujiji
Ganda la risasi ya moto kama lilivyonaswa na Camera ya Zitto ndani ya ofisi ya CHADEMA ujiji...hali inayoashiria kuwa Polisi walitumia silaha za moto wakati wakivamia ofisi hiyo...Tunapelekana wapi jamani??

No comments: