MDAU TUNJI TOKA NAIJA KUCHUKUA JUMLA SOON

Mdau Adedeji Adelaye( a.k.aTunji) anatarajia kufunga pingu za Maisha desemba 4 mwaka huu...Pia kama unahutaji huduma ya kutengeneza invitation kabambe kama hizi wasiliana na 0784670105 au 0784670106 uzungumze na Depri solutions tawi la 360 Media ambao pia ni watengenezaji wa Blog hii.

No comments: