PILIKA MJENGONI

Picha ya Mjengo kabla ya pilika pilika za hoja kuanza kutawala anga.leo ni siku ya kumsaka supika wa Mjengo ili washeshmiwa waanze zoezi la kuapa lilipopangwa katika awamu tatu ya kwanza ikianza leo

Kinara na mwanaharakati wa Muziki wa Kizazi Kipya Joseph Mbilinyi almaarufu SUGU a.k.a Nyerere wa Rap kama alivyojibatiza katika moja ya tungo zake akivinjari Mjengoni.Sugu amekuwa wa Kwanza kwa mara nyingine tena kufungua mlango kwa wanaharakati wa kweli wa muziki wa kizazi kipya kugombea na kushinda Ubunge.Mbilinyi anawakilisha Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya CHADEMA

Mhesmiwa Sitta akisalimiana na Mama Kilango


Mheshmiwa Sitta akisalimiana na Mpambanaji Halima Mdee

Mheshmiwa Vicky Kamata akiwa bize viunga vya mjengoni...




No comments: