ATM HII KIMEO KILA SIKU...

Hii ni kero ya muda mrefu ambayo nimeivumilia mpaka inafikia kikomo..ATM hii ya maeneo ya kwa Nyerere karibu na Talk of the Town au Arise Beauty shop...Kila mara unapoenda unakuta ikiwa katika hali inayoonekana pichani...aidha out of service au kioo kinakuwa cheusi tu...CRDB mjirekebishe kama vipi muitoe hiyo mashine tujue haipo tuzoee kwenda kule kwa nyumba za Mawaziri TPDC


No comments: