changia masomo ya watoto hawa


Shime wadau kutoa ni moyo si utajiri....Washirikishe watoto hawa tabasamu lako la kuukaribisha mwaka mpya wa 2011 kwa kuchangia chochote ulichonacho ili nao waende shule..ikiwa ni sare za shule,daftari,kalamu ama chochote ambacho ungeona kinafaa kwa ajili ya mwaka wao wa masomo...

Nawasilisha,

Nancy

No comments: