DECEPTION YA KANUMBA SASA MTAANI


Ujumbe mzuri toka kwa Kanumba the Great....
Hata nikiwa nje ya nchi lakini ofisini kwangu kazi zinaendelea kama kawaida na mwezi huu kwa kuanza mwaka naanza na hii...''DECEPTION''sina haja ya kuongea mengi hata kwa picha tu upekee na utofauti waweza tizama katika picha kwamba ni kivingine,,naanza kwa mbio mwaka huu,,kaa mkao wa tayari soon inakuwa mtaani,,,mashabiki wa kweli na wazalendo hununua copy original na si feki,lakini pia hawaazimani bali kila mtu hununua ya kwake tena original.''Mkataa kwao ni mtumwa''.....''Mcheza kwao hutunzwa''......''Tusitukuze vya nje na kudharau vyetu maana upendo wa dhati huanzia nyumbani na si ugenini,tujikubari sisi wenyewe kwa kupeana mioyo na kushauriana kwa njia na nia njema bila kutukanana wala kupondana maana lengo letu ni zuri kwa jamii....PATA NAKALA YAKO SASA....

No comments: