

Kaka,
Nataguliza Shukrani zangu,Katika harakati za kijasiriamali nimefungua duka hili la nguo ambalo lipo Kawe karibu na Tanganyika Packers.Hapo utapata Mavazi kama hayo pichani,mikoba ya kina mama,viatu,Video camera(Camcoder) vinapatikana.
Mdau Kubbo
Karibuni sana.
No comments:
Post a Comment