
Kama moja ya taratibu za kinyakyusa(wakwe zangu) walitutembelea nyumbani kwa wazazi wangu Kimara.Tunapoelekea kuchukua jiko mnamo tarehe 7/05/2011 ni mila za Mbeya kuthaminisha Familia wanayoungana nayo ili kuepuka mtoto wao kuchakachuliwa.....teheteheee!
No comments:
Post a Comment