MAZISHI YA JAJI MAPIGANO

Usafiri Ukiwa tayari kwa watakaopenda kuelekea Mnazi Mmoja
Magari ya waombolezaji wengi wao wakiwa wale waliolala hapa hapa msibani yakiwa bado yapo kama yalivyopakiwa toka jana

Asubuhi ya leo nilibahatika kupita kwenye msiba wa jirani yangu Jaji Dan Mapigano ambao kama utaratibu ulivyopangwa itifaki za mazishi zimefanyika mchana huu pale Mnazi mmoja na baadae kupelekwa nyumba ya milele Kinondoni.Licha ya kuwa kiongozi marehemu alikuwa Mtu wa watu na hii unaweza kuiona kwa umati uliojaa mahali hapa.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe!
Nipenikupe inawapa pole wafiwa wote na Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.


No comments: