

Baada ya dereva wa DCM kushindwa mechi hiyo aliamua kutoa bonge la sime na kumnyooshea dereva wa lori kwa hasira huku akirudi nyuma na kuchomekea kwenye site yake...Jamani me nadhani flyover zingejengwa kwanza kwenye vichwa vyetu tuwapo barabarani...Ubinafsi na maamuzi finyu pindi tuwapo nyuma ya usukani ndiyo sababu kuu ya foleni hapa Bongo....fly over mbwembwe tu..!
Nawasilisha
No comments:
Post a Comment