
Mtayarishaji/producer wa kipindi murua cha Mydiary akiwa na warembo wa Mydiary wakati wakirekodi Season mpya ya kipindi hicho.

Anga kazini:Mtayarishaji/Muongozaji akiwapanga warembo wa Mydiary kucheza wimbo maalum wa kipindi..Kaa mkao wa kula kuanzia february 5 mapinduzi yanakuja ndani ya TBC1.Kufuatilia matukio kwa Ukaribu zaidi tembelea
http://www.mydiarytvshow.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment