AIRTEL YAJA NA AIRTEL FLAVA!!!

Kelvin Twissa (left) and Frank Semaganga during Airtel Flava Launch in Dar today.

Uhuru Zaidi na Airtel Flava.

Wateja wa Airtel sasa wanaweza kusikiliza Muziki wowote waupendao kupitia simu zao za mkononi.Huduma hii maridadi inayokwenda kwa jina la Airtel Flava imezinduliwa Leo Jijini Dar es Salaam.Akiongea katika uzinduzi huo Meneja Masoko wa Airtel Kelvin Twissa ameeleza kuwa Airtel Flava ni rahisi kuitumia kwani Mteja anapaswa kupiga namba 15565 kisha akachagua mziki anaotaka.Ameongeza pia kuwa mteja anaweza kupata muziki wowote uwe ni wa sasa ama wa kale.
Huduma hii ni bure katika mwezi huu wa kwanza wa shamra shamra za uzinduzi wake.
Pata Flava Ujisikie Huru na Airtel

No comments: