
Airtel inakupa fursa kuchangia waathirika wa Mabomu ya Gongo la Mboto kwa kutuma neno "Saidia" kwenda namba 15526.Kwa kutuma meseji hii utakuwa umechangia shilingi 500/= na kuleta tabasamu kwa waTanzania wenzetu.
Vilevile kama bado umepotezana na ndugu yako piga simu namba 118 bure kwa ajili ya kutoa Taarifa Polisi.
Asante!!
No comments:
Post a Comment