KANUMBA:MWAKA HUU MBIO TU

"Mwaka huu 2011 mwendo wangu utakuwa ni huu wa MBIO tu.....sitotambaa wala kutembea bali nitakimbia na kukimbiza maana naipenda kazi yangu,nimejifunza mengi Hollywood,nimepumzika vya kutosha,nimenunua vifaa vinavyonifaa ktk kazi yangu sasa ni mbio" By Kanumba.

Mwenda mbio kaagana na nyonga kaka...Haya All the Best...!


No comments: