SAADA AMEREMETA...



Jirani yangu,rafiki yangu na mfanyakazi mwenzangu Saada Kiponza wikiendi hii alimeremeta.Nachukua fursa hii kumpongeza kwa hatua hii aliyofikia katika maisha na mungu awaajalie afya tele na uzao ulioneemeka...
Congratulations Saada.



1 comment:

Anonymous said...

Wow!!! you looked so gorgeous with your hubby! very much Congratulations!!!!