SMART AFRIKA WAKO SIRIAZ..




Nilipoweka poster ya Smart Afrika na kusema kwamba nimekutana na Manju nilijua naweka post ya kawaida tu kama nyingine.Ila kwa idadi ya simu nilizopokea pamoja na e-mails za kutaka kujua wapi mtaalam huyu anapatikana nikajua kumbe kiu ya mavazi ya kiaAfrika ipo ila wengi hamjapata wa kuikata kiu hiyo....Kwa mimi niliyeshuhudia kazi zake nakuhakikishia sasa umepata pa kukata kiu.
Sasa kurahisisha mambo kwa wale mloniomba contact za Manju mnaweza kupita www.manjudesigns.com kujionea.Natumai nikitundika namba ya simu pia haitakuwa tatizo..

1 comment:

Anonymous said...

Kwakweli ni ubunifu wa khali ya juu,nimeipenda sana