USAFIRI WA ZENJI CHEE

Wataka kwenda Zenji weye???Basi usafiri upo hapa kwa bei chee tuu wapanda Jahazi kwa buku Gwara tu waelea hadi Zenji.....Hapa ni Ufukweni Bagamoyo....Maisha bwerereeee!!




No comments: