CHALI CHANGANYIKENI




Corolla hii imepiga chali afta kinachosadikiwa kuwa jaribio la kuiiba liliposhindikana....baada ya kelele za mwizi kutokea Changanyikeni juu vijana wa Boda boda walimuunganishia mjambazi huyu(hayupo pichani) na hatimaye kumzonga hadi kushindwa kukata kona ya mwisho ya Changanyikeni kuelekea Ardhi...ndo yakamkuta haya kisha kibano kufuatia kabla ya mwenye gari kuwasili na teksi pamoja na polisi kumnusuru kwa ajili ya ushahidi.



No comments: