GOBA:MKUTANO WA MBUNGE WA UBUNGO NA WANANCHI

Diwani wa kata ya Goba Bwana Kisoke akileza jambo kwa Mbunge mbele ya wananchi katika Mkutano huo,Alikuwepo pia Diwani wa viti maluum

Mbunge wa Ubungo John Mnyika akiwahutubia wananchi wa kata ya Goba katika mkutano wa Mbunge uliofanyika katika Mwembe Madole,Pamoja na kusikiliza Risala ya wananchi Mnyika pia aliongea na wananchi wake kuhusu kero mbali mbali zinazowakanili,ikiwemo ya Maji.

Umati wa Wananchi ukishiriki kiamilifu mkutano unaohusu maendeleo yao



No comments: