HEPI BESDEI FRESIYA

Mtoto Fresiya akikata keki katika shamra shamra za siku yake ya kuzaliwa shuleni kwao pembeni ni Matron wake a.k.a shosti yake akiwa high tebo...

HONGERA FRESIYA....


2 comments:

Anonymous said...

Duhh.......siku hizi watoto nao wanakuwa na matron!!inapendeza kwakweli....

Anonymous said...

Happy bday Fresiya