BAJAJ AU BAJAZA???

Sasa hizi rangi za mitandao ya simu zishakuwa ishu...kila mtu red and white...itabidi iwe kama kwenye mpira wa miguu kuwepo na jezi za nyumbani na ugenini,au mnaonaje wadau??

No comments: