KIKOMBE vs MATONE

Nabii Joshua Mwantyala akiwanyunyizia waumini wake matone yanayotibu magonjwa yote sugu..nabii huyo alikuwa huko Viwawa,Mbozi Mbeya na kudai kuwa matone hayo ni majibuya maajabu ya Loliondo... Message sent....!! Mwasapile vs Mwantyala??

No comments: