BONGO KUWA TAITA IZE SANA

Bajaj hii nimeikuta mitaa ya Mikocheni kwa Kairuki...Dullah kibajaj amejizolea umaarufu haraka haraka mara baada ya kuibukia clouds FM kama mpiga stori za kitaa katika kipindi cha Leo Tena..Wiki ijayo nitakuletea mahojiano live na Dula hapa hapa kwenye Nipe nikupe...


No comments: