HONGERA ALEX NA SANDRA

Mkurugenzi wa Breakthrough Business Support braza Alex Mayunga akiondoka ukumbunini Mlimani city akiwa na mai waifu wake Sandra Mwashitete Mayunga mara baada ya kusmoke ze kitchen pale Saint Peters na baadae Reception ya kukata na mundu Mlimani city hall...Hongereni na mungu awajaalie uzao mwema na maisha murua ya ndoa...

No comments: