KAMA DITTO??

Picha hii mimi imenitisha sijui wewe..Hapa ni Igunga,Huyo Pichani ni Mheshmiwa Mbunge wa CCM Rage..na hapo Kibindoni na Pistol ama Bastola wataalam mnaweza kutwambia ni ya aina gani...

Je!anawinda??au ndo anataka kum-Ditto yeyote atakaemletea ishara ya vidole viwili??

1 comment:

Anonymous said...

angelikuwa wa chadema ungeliona kiherehere cha polisi lakini kwa sabababu ni watoto wa baba na mama mmoja haina shida ni kupeta tu nchi yao hii bwana, lakini hizi si ishara nzuri!!!